Sunday, November 4, 2012

UDBS YASHINDA DHIDI YA COET ON SUNDAY 4th NOVEMBER

 
 
 
Vijana machachari  kutoka kitivo cha UDBS wameweza kubadili njano kuwa nyekundu baada ya kuvunja mwiko kwa kuwafunga timu ya kitivo cha CoET iliyokua na upinzani mkali kwa jumla ya magoli 3-1.Kwa matokeo hayo UDBS wanaongoza kundi B kwa pointi zote 9 baada ya kushinda mechi zake zote aka "unbeaten".Timu imesikitishwa na kitendo cha CoET cha kugomea mchezo baada ya kupigiliwa msumari wa mwisho.wafungaji wa magoli ya UDBS ni Oscar Lekule,Dominick Vincent na Paul Ulaya wote ni mwaka wa pili.Goli la CoET limefungwa na Guinea.Kwa sasa UDBS wanasubiri kucheza nusu fainali dhidi ya mshindi wa pili kundi A.

No comments:

Post a Comment