Time:
27th April: Fair starts at 8am
28th April: Fair starts at 9am...
AIESEC Career Fair 2013 draws near... How have YOU prepared for it?
"The starting line of your Career race."
@X-UDBS USRC
Wednesday, April 24, 2013
Sunday, April 21, 2013
Wednesday, April 17, 2013
HOPE FOR THE YOUTH SERIES EVENT ON THIS SATURDAY 20th APRIL 2013 AT YOMBO 4.
THEME:Focusing on Empowering youth to overcome unemployment challenges by finding ways to employ themselves and others
DATE: On SATURDAY,20TH APRIL 2013
VENUE: UDSM [YOMBO 4 HALL ]
ENTRANCE: FREE FREE FREE,
GIFT: free 40 executive tie will be provided for first 40 youth to come
NOTE:THIS IS ALL DONE IN WITH THE COOPERATION BETWEEN GILGAL COMPANY,CAREER COUNCELLING CENTRE UDBS AND X-UDBS USRC.
Wednesday, April 10, 2013
RIPOTI INAYOONESHA TATHMINI YA UTENDAJI WANGU TANGU MLIPONICHAGUA KUWA MBUNGE WA UDBS TAREHE 24/05/2012 KUWAWAKILISHA KATIKA SERIKALI YA WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KUANZIA TAREHE 09/06/2012 NA KUMALIZA RASMI 06/04/2013
Awali ya yote ningependa
kumshukuru mungu kwa wingi wa rehema mpaka kunifikisha hapa mbele yenu nikiwa
mwenye afya njema siku hii,nanyi mkiwa katika hali njema.Napenda kuwashukuru
kipekee viongozi wote[Mwenyekiti,katibu,wabunge
wenzangu na wanafunzi wenzangu wote,Class representatives wote na kipekee
kabisa wachezaji wenzangu wa UDBS ambao tumeishi nao kama familia moja nikiwa
kama nahodha wa timu yetu].Ikiwa tayari kwa upande wangu nimemaliza mkataba wa kazi ya uwakilishi mliyonipa
napenda kutoa ripoti inayoonesha mstakabali wangu katika kusimamia mambo muhimu
ya UDBS na chuo kwa ujumla.Napenda kuwakumbusha pia msemo wa mwanafalsafa mmoja
ambaye alisema “Unaweza kuukana ukweli
lakini huwezi kuyakana matokeo yatokanayo na kuukana ukweli”.Hapa namaanisha
kuwapa ukweli mtupu kwa yale ambayo nimeyafanya ili kuwatendea haki hasa ya
kupata “FEEDBACK’
Kwa kutumia slogani hii
“YOUR VOICE IS OUR DUTY TO PLAY”
Nimeweza fanikiwa kwa kiasi kikubwa kutengeneza mahusiano muhimu kati ya mimi
kama mwakilishi wenu na staff ya UDBS [Associate
dean] Viongozi wa juu wa serikali ya wanafunzi [Prime minister,Finance minister
& Deputy finance minister and Loans minister] katika kuhakikisha
maisha yetu yanasonga na tunafanikiwa katika yale ambayo tunayafanya na
kuazimia.
Pia nimeweza kutimiza Ahadi
tano kuu kati ya sita ambazo nliziainisha katika “electrol manifesto yangu” kama ifuatavyo
·
Kuwa na mfumo bora wa mawasiliano kwa
wana UDBS wote kupitia “Special comm.
committee;
UDBS website: www.udbsstudents.blogspot.com
Facebook
pages [245 Members]: University of Dar
es Salaam business school students
Facebook group [370 Members]: Accounting principles UDSM
Katika Mawasiliano wana
UDBS tunastahili pongezi kwani ndio kitivo pekee cha udsm ambacho wanafunzi
wake wanapata taarifa kwa haraka zaidi kwani hii ni Course isiyo na units uwapo
chuoni.Kuhakikisha matukio ya Taaluma na Michezo yanakua na tija na kuongeza
maarifa kwa wanafunzi.
TAALUMA
Nimetoa support [Direct
or Indirect] kwa matukio yote ambayo yamefanywa na associations za udbs[AADU, DUTTA, DUMA, DUFA, UDHRA]
RIPOTI
MAALUMU KWA ASSOCIATE DEAN ACADEMIC
Ripoti yangu katika
masuala ya taaluma kwa staff ilichanganua changamoto za semester ya kwanza kama
ifuatavyo;
·
The
failure of early teaching as soon as to the opening date.
This always have impact to our fellow students who come to university on time
and even have the impact to our instructors who over time may not finish the
content on the syllabus.
·
University
Examination timetable setting. This has impact on
this semester 1 academic performance specifically to the shift of examination
date from Friday, 25th January 2013 to
Thursday 24th January 2013.
·
Tendency
of doing Semester Tests at late weeks specifically after 10th week.
This normally make even our fellow
students to get their course work later
that at time may not be a good time for
a student to have time for thorough review.
·
Aris
problem, this happened to this semester where by some of
students were unable to save their registration.
·
At the end I advised Early lecture for
the last semester session,Appropriate time to do test and other assignments
plus fairness in grading
MADESA
·
Tumejitahidi kwa hali na mali mimi na
uongozi wa darasa kuhakisha tutoa tender ya madesa kutolewa katika stationary
ambazo zinatoa kopi safi na kwa bei nafuu.Mfano ni Mama lishe na Madesa Point
MICHEZO
·
Managers
Night ambayo ilifana sana ukilinganisha na events
nyingine,
·
TIMU
YA UDBS
Nikiwa
kama kapteni na mbunge nimehakikisha kuwa michezo inapewa nafasi sana kwa
kutumia takwimu hizi,
Tumecheza
jumla mechi 8
Win=5
[UDBS Vs COET,CONAS and LAW [2games]
Loose=2[CASS,SOED]
Draw=1[With Ardhi university]
Mahusiano
ya viongozi na watawala[Staff]
·
kwani ndio yanayorahisisha utendaji
makini,uwajibikaji na umakini katika kutatua issue za hapa na pale.
·
Kusimamia uchangishwaji wa fedha kwa
ajili ya kumuwezesha mwanafunzi mwenzetu alipe ada na pia kusimamia mchakato
mzima wa wanafunzi waliokosa boom,na sasa wamepata nafasi ya kuapply tena.:Mfano
ni pale tuliposhiriki pamoja kuwezesha mwanafunzi mwenzetu [Chichy] kuchangiwa pesa takribani
337,000/= na mwingine ambaye alipata problem ya jina lake kuwa out of list
katika maswala ya malipo
Maazimio ya kikao cha
tarehe 02/12/2012 ya viongozi wa UDBS [Hayajafanywa
kutokana na Mwaka wetu wa uongozi kutoisha]
- UDBS charity day
- Interdepertmental games
- Baraza kwa wanafunzi wa UDBS [BADO]
·
·
Election Progam [Has started on 2nd
April,we are involved to take care of whom will be our leaders.
Nimeshiriki katika
kuhakikisha matukio yafuatayo yanafanyika kwa Wana UDBS
·
Managers
Night
·
Vodacom
league-udsm
·
BSEC
challenge 2012,17th November
·
AADU
–Bagamoyo Tour
·
DUMA
Members meeting
·
DUMA
Bonanza
·
Public
lecture conducted by DUFA
·
Public
Lecture conducted by AADU
·
The
University Professional [UPD]
·
Promised
Event by me on 20th April 2013[Career Councelling Centre USRC office and Gilgal
Company]
RIPOTI
YA MAPATO NA MATUMIZI
Maazimio ya bungeni na
ofisi ya mshauri wa wanafunzi yalikua kama ifuatavyo;
Kiongozi yeyote atayebainika
na kuthibitika baada ya auditing inayofanywa kupitia ofisi ya Auditor wa chuo
kumalizika kuwa ametumia ovyo mali ya chuo iwe pesa au vifaa alivyokabidhiwa
basi hatopata cheti cha uongozi,matokeo yake yatafungiwa hivyo hatokua na
nafasi ya kupata Transcript yake mpaka kiwango cha mali alizotapanya
zirudishwe.Hivyo nawashauri wanafunzi kutokua na wasiwasi katika hili.
SELF
ADVANTAGE
1.
Reputation from my fellow students,
staffs and other leaders at DARUSO
2.
Build strong network with different
reputable officers in Town, leaders of the nation and corporate managers
3.
Some of your thanks were in different
forms ie.money,Normal thanks
4.
Accommodation advantage
5.
Learning other activity like Design of
words to print onto T-shirts, Sports events organizer, other entrepreneurial
activity I am used to do
6.
Managing to know you all either by name
or facial expression
7.
UDBS-UDSM student ambassador;Link with
two foreign Norway students who came for their Internship
8.
Applied for MBA [English mode]as DARUSO
leader at Beijing institute of Technology [BIT], China.Results for admission
will be on May.
SELF
DISADVANTAGE
1.
Students will always not appreciate what
you have done rather they keep on taking the opposite side of what you do. Only
those with daily problems will appreciate you.
2.
Missing lectures; I was not used to miss
any of the lecture session due to this activity it was impossible.
3.
To be used as a means and not like your
fellow student.
4.
Danger of being discontinued due to
presentations of things which have political affiliations.
ADVICE:
1.
Take care and concern for different
announcement wherever you are.
2.
“Know
what you know”- Tujitahidi kukifahamu vizuri kile tunachofikiri tunajua
3.
Unity as UDBS students and Finalists
[Respect to each other,regardless of the course we pursue]
4.
Tujitokeze tena kupiga kura kwa viongozi
wa DARUSO ijayo.
Mungu kibariki chuo
kikuu cha Dar es salaam,
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu ibariki Afrika.
Asanteni sana kwa
kunipa nafasi hii.
By;
Shauku
Starford Kihombo
X-UDBS
FINALISTS [MB]
@2013.
Friday, April 5, 2013
UDBS YAIDHABU TENA UDSL [SCHOOL OF LAW] KWA USHINDI WA 2-1 MWANZONI MWA WIKEINDI JANA JIONI
KUSHOTO WALIOSIMAMA:Christopher Mbwambwo[UDBS GS],OSCAR,COSTANTINE,DOMINIC,PAUL ULAYA,MBWANA FRANK,INNOCENT,THOMAS MWINUKA[UDBS CHAIRPERSON],SHAUKU KIHOMBO[UDBS USRC & TEAM CAPTAIN,MUSTAPHA]
KUSHOTO CHINI:MARASHI[Goal keeper],Faustine Daz,Ali lwimba,Bakari,Hamisi na Wile]
Hii ni mechi ya 8 ya udbs katika mwaka wa uongozi 2012/13
Subscribe to:
Posts (Atom)