Tuesday, October 16, 2012

Biashara::MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA NAIBU MWAKILISHI WA BIASHARA KATIKA OFISI YA RAIS WA MAREKANI, BALOZI DEMETRIOS MARANTIS, IKULU DAR LEO


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Mwakilishi wa Biashara katika Ofisi ya Rais wa Marekani, Mhe. Balozi Demetrios Marantis, aliyefuatana na ujumbe wake, baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 16, 2012. Kulia ni Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhardt
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Naibu Mwakilishi wa Biashara katika Ofisi ya Rais wa Marekani, Mhe. Balozi Demetrios Marantis, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 16, 2012. Kulia ni Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhardt
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Naibu Mwakilishi wa Biashara katika Ofisi ya Rais wa Marekani, Mhe. Balozi Demetrios Marantis, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam,  Oktoba 16, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Mwakilishi wa Biashara katika Ofisi ya Rais wa Marekani, Mhe. Balozi Demetrios Marantis, aliyefuatana na ujumbe wake, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa mazungumzo  Oktoba 16, 2012. Picha na OMR
No comments:

No comments:

Post a Comment