Friday, May 31, 2013

UDBS FINALIST NA CONTINUING ZATOKA SULUHU YA GOLI 2-2

Mchezo ulikuwa safi na maridadi,Ni Andrew Mollel [DREW] ndiye alieanza kuwainua mashabiki wa finalisti kunako dkk ya 35 kipindi cha kwanza kwa goli kali na la karne baada ya kupata pasi kali kutoka wingi ya kulia na kumwacha Golie wa continuing akishangaa.Goli la pili la finalisti lilitupiwa na Jerry aka Terry kunako dkk ya 20 kipindi cha pili Baada ya kupiga faulo iliyozama moja kwa moja bila mafanikio ya golikipa wa continuing.
Wabantu walitoa zawadi ya Tshirts kwa wafungaji wote wawili na moja kwa Kapteni.

Much Love
To all Finalists.

No comments:

Post a Comment