Monday, February 18, 2013

PRESS RELEASE ON LOANS ISSUE

Hello managers,
Wanafunzi wote tunapaswa kuanzia leo siku ya Jumanne tarehe 19/02 mpaka tarehe 22/02 siku ya ijumaa kwenda ofisi za mikopo pale yombo kusaini majina yetu kwa ajili ya kuweza kupata boom la semester ya pili,
Hizi ni juhudi zilizofanywa na serikali ya wanafunzi ili pesa zitolewe kuanzia siku ya ijumaa kabla ya chuo kufungua.
Hii inatokana na sheria ya kuwa pesa hizi zinapaswa kutolewa kwa mwanafunzi aliesaini.
NOTE:Saini mapema uwezavyo.Kwa wale wa mikoani ikiwa hautafanikiwa kusaini kwa siku tajwa hapo juu basi chuo kikifungua unapaswa kusaini ndipo pesa ziweze kuwekwa kwenya kaunti yako.Na deadline haiko clear,but ukisaini ndipo utakua katika position ya kuwekewa pesa yako.


SOURCE:LOANS MINISTER-DARUSO

No comments:

Post a Comment