Thursday, November 29, 2012

ITS TIME TO SIGN FOR THE COMING BOOM

Hello UDBS students,
The names and respective code numbers for the names have already been posted around all noticeboard at cafterias.
Make sure you sign early.

Sunday, November 25, 2012

ARIS PROBLEM HAS NOW RESOLVED

Being a number of weeks having ARIS problm,now u can Register your courses with no problem.https://www.aris2.udsm.ac.tz

Friday, November 23, 2012

"BOOM" TO BE PLACED BEFORE 9TH DECEMBER 2012

This is the official information from the DARUSO Ministry of Loans.

DUMA BONANZA ON THIS SATURDAY,24TH NOVEMBER 2012

On this saturday,24th November 2012.Kuna Bonanza ambalo limeandaliwa na DUMA[Dar es salaam University Marketig Association] Ni event ambayo itakuwa na ushiriki wa michezo mbalimbali:

FOOTBALL[MPIRA WA MIGUU];
  1. AADU   Vs DUEA [From 10:00am]
  2. DUMA   Vs DUFA [From 12:00pm]
  FINAL
  • Winner match 1   Vs  Winner Match 2
ROPE PULLING[KUVUTA KAMBA]
KUKIMBIZA KUKU
KUKIMBIA KWENYE GUNIA
Na michezo mingine mingi.

Sunday, November 11, 2012

SOED BINGWA WA MASHINDANO YA UDSM VODACOM INTERCOLLEGE LEAGUE BAADA YA KUIFUNGA COET KWA PENATI 5-4

       Anza na jukwaa kali kabisa la Vodacom

Tizama nyomi ya mtu ndani ya mabibo wengine madirishani wengine uwanjani
 
                                        
  CHINI:shamrashamra ya ushindi wa SOED
 
 
Le capitain wa UDBS [Shakistar] akiwa na D-Sala [Mmoja ya wasanii wa udbs] hapa chini.
 
 
ROMA MKATOLIKI NAE AKAFANYA YAKE BAADA YA FAINALI ZA VITIVO

 
 

Saturday, November 10, 2012

VODACOM

A CORPORATE COMPANY THAT ENHANCES [Corporate social Responsibility.]

UDBS Vs CASS TO PLAY THIS SUNDAY MORNING AT MABIBO GROUNDS


HII NDIO JEZI UDBS WATAITUMIA ASUBUHI YA JUMAPILI HII KWENYE MASHINDANO YA VODACOM-UDSM MABIBO

Wednesday, November 7, 2012

UDBS Vs SOED TO PLAY HALF FINAL OF VODACOM INTERCOLLEGE LEAGUE ON FRIDAY 9th,NOVEMBER AT CAMPUS GROUND

Attend and give massive support on our Half final match of Vodacom intercollege Lague on this Friday starting at 16:00 that involvea UDBS[First winner Group B] Vs
SOED [second winner of Group A ].This is the year for UDBS to take the number one in UDSM sports quality.

FINANCE DAY 2012

Attend Finace day on this Saturday,10th November 2012.

  • Morning Session [09:00 until 12:00]
  • Evening Session [At Rombo Green View Hotel]
Free for morning session and 12,000/= for evening session

Sunday, November 4, 2012

UDBS YASHINDA DHIDI YA COET ON SUNDAY 4th NOVEMBER

 
 
 
Vijana machachari  kutoka kitivo cha UDBS wameweza kubadili njano kuwa nyekundu baada ya kuvunja mwiko kwa kuwafunga timu ya kitivo cha CoET iliyokua na upinzani mkali kwa jumla ya magoli 3-1.Kwa matokeo hayo UDBS wanaongoza kundi B kwa pointi zote 9 baada ya kushinda mechi zake zote aka "unbeaten".Timu imesikitishwa na kitendo cha CoET cha kugomea mchezo baada ya kupigiliwa msumari wa mwisho.wafungaji wa magoli ya UDBS ni Oscar Lekule,Dominick Vincent na Paul Ulaya wote ni mwaka wa pili.Goli la CoET limefungwa na Guinea.Kwa sasa UDBS wanasubiri kucheza nusu fainali dhidi ya mshindi wa pili kundi A.

Thursday, November 1, 2012

UDBS YAFANYA KWELI UDSM INTERCOLLEGE COMPETITION

Timu ya wanafunzi wa Kitivo cha Biashara katika chuo kikuu cha Dar es salaam imeendeleza wimbi la ushindi baada ya kushinda mechi mbili dhidi ya CONAS  [1-0] na UDSL [2-1] na kuifanya kuongoza kundi hilo kwa pointi 6 ikifatiwa na COET na UDSL wenye pointi 1 huku CONAS wakishika mkia wakiwa hawana pointi.Kupitia this official blog ya wanafunzi wa UDBS na nahodha wa timu hiyo Shaki-star alikaririwa akisema "Timu yetu tumejipanga vizuri na kuhakikisha tunacheza ki-team work na kuimarisha nidhamu ndani ya timu,Hili limewezekana kutokana na ushirikiano mkubwa tunaopata toka kwa management ya UDBS kupitia viongozi wake na patroni wa michezo Dr. Francis,Tunaombwa kuhudhuria kwa wingi kwa mashabiki wetu ambao ni wanafunzi wenzetu siku ya Jumamosi Jioni ya tarehe 03-11 pale viwanja vya mabibo hostel tutakapokua tunakipiga na COET".